Imewekwa tarehe: February 4th, 2025
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa limeridhia kupitisha rasimu ya bajeti ya Shilingi 50,329,376,863.00 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo sawa na ongezeko la 14.9% ya bajeti ya mwa...
Imewekwa tarehe: December 6th, 2024
DESEMBA 06, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mhe. Zaituni Msofe ameongoza Kikao Cha tathmini ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa.
Mhe. Msofe ametoa s...
Imewekwa tarehe: December 2nd, 2024
Kikao Cha kisheria Cha Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Kyerwa kimefanyika Leo Desemba 02, 2024 na kukutanisha Viongozi wa Serikali, Taasisi, Wataalamu, Viongozi wa dini pamoja na Viongozi wa Vyama vya ...