Imewekwa tarehe: October 30th, 2023
Maadhimisho ya siku ya Lishe kitaifa pamoja na uzinduzi wa kampeni ya lishe kwa vijana balehe katika Wilaya ya Kyerwa yamefanyika tarehe 30 Oktoba 2023 katika Kijiji cha Muhulire Kata ya Nkwenda.
...
Imewekwa tarehe: October 25th, 2023
Kamati ya Elimu ya Afya ya Msingi imefanya kikao chake leo tarehe 25 Oktoba 2023, kwa ajili ya kujadili mpango wa kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya matone ya Polio awamu ya pili itakayotolewa ...
Imewekwa tarehe: October 17th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imepokea Vitanda 100 na Mizani 10 za kupimia uzito vitakavyotumika katika Hospitali ya Wilaya ya Kyerwa vyenye thamini ya shilingi 72,800,000 kutoka serikali kuu.
Ak...