Imewekwa tarehe: April 19th, 2024
Wilaya ya Kyerwa inatarajia kushiriki zoezi la kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wa kike kuanzia miaka Tisa hadi kumi na nne wapatao 38,009 kwa lengo...
Imewekwa tarehe: April 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amepokea mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (Cooperate Social Responsibility- CSR) wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati katika Kikao kilichofanyika leo Aprili 1...
Imewekwa tarehe: April 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe leo Tar. 11 Aprili 2024 amewatembelea na kuwapa mkono wa Eid Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum wanaosoma katika shule ya Sekondari Mabira.
Akitoa mkono wa Eid...