20232406131718USAILI WA KADA YA UDEREVA KYERWA DC.pdf
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kyerwa, anawaalika waombaji wa ajira katika kada ya udereva, waliokidhi vigezo kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 02 Julai, 2023 hadi tarehe 03 Julai 2023 utakaofanyi ka katika Ofisi ya Mkurugenzi Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved