Imewekwa tarehe: May 14th, 2025
Mkutano wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa umefanyika leo tarehe 14 Mei 2025 kwa ajili ya kujadili taarifa ya utekelezaji wa robo ya tatu ya kuanzia mwezi Januari hadi Machi ...
Imewekwa tarehe: May 7th, 2025
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Kyerwa.
Mwe...
Imewekwa tarehe: April 29th, 2025
Mafunzo hayo yametolewa kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya kibayometriki (BVR) katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa leo tarehe 29 Aprili 2025.
Afisa Mwandikishaji Jimb...