Imewekwa tarehe: December 1st, 2024
Leo Desemba 01, 2024,Tanzania imeungana na Mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani.
Katika Mkoa wa Kagera Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Standi ya Nkwenda Wi...
Imewekwa tarehe: November 29th, 2024
Siku chache baada ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa kufanyika Tarehe 27 Novemba,2024,Viongozi walioshinda kwenye Uchaguzi huo wameapishwa leo tarehe 29 Novemba 2024 tayari kwa kuanza kazi ya kuwahudumi...
Imewekwa tarehe: November 15th, 2024
Katika kuhakikisha lishe inaendelea kuwa ni suala mtambuka kwa jamii, Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ameitaka jamii ya Wanakyerwa kuwa na bustani za mbogamboga katika kila kaya ili kubore...