Imewekwa tarehe: March 7th, 2025
Mdau wa Maendeleo Wilaya ya Kyerwa, Meneja wa kampuni ya Karagwe Estate Bi. Devotha Daniel amegawa taulo za kike pisi 300 kwa wanafunzi wa shule za Sekondari za Kyerwa Modern na Kyerwa pamoja na Shule...
Imewekwa tarehe: March 6th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka wajumbe wa kikao cha kamati ya lishe kupambana na hali ya watoto wanaozaliwa chini ya uzito wa 2.5Kg. baada ya kupokea na kujadili taarifa utekele...
Imewekwa tarehe: February 28th, 2025
Mkutano wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa umefanyika leo tarehe 28 Februari 2025 kwa ajili ya kujadili taarifa ya utekelezaji wa robo ya pili, kuanzia mwezi Oktoba hadi Dese...