Imewekwa tarehe: February 15th, 2024
Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kyerwa leo tar. 15 Februari 2024 imetembelea na kukagua miradi mitano ya maendeleo na kuridhishwa na utekelezaji wa ilani ya chama kwa mwaka 2020...
Imewekwa tarehe: February 1st, 2024
“Najiuliza kwa miezi sita kama tumevuka lengo inamaana tunaweza kukusanya mara mbili na zaidi ya tulichokuwa tumejipangia, kama miezi sita tumeweza kufikia asilimia 104 imaana tumejipangia kiwango cha...
Imewekwa tarehe: January 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ametembelea Kata ya Businde kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi zinazowakabili katika mazingira yao huku akiwataka wazazi na walezi kuhakiki...