Kitengo cha ukaguzi wa ndani kinafanya shughuli zake kwa kuzingatia sheria ya serikali za mitaa Na.9/1982 kifungu kidogo cha 45 (1) pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2000.Aidha kitengo cha ukaguzi wa ndani kinatekeleza kazi zake kwa kufuata Memoranda ya fedha ya mwaka 2009 sehemu ya 13-14 , mwongozo wa ukaguzi wa ndani yaani `Local Goverment Internal Audit Manual’ ya mwaka 2005, mwongozo wa kimataifa wa wakaguzi wa ndani(‘International Professional Practices Framework’ (IPPF) )ya mwaka 2013 na miongozo mingine inayotolewa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA).
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved