Imewekwa tarehe: January 9th, 2023
Wilaya ya Kyerwa kwa kipindi cha mwezi Disemba, 2022 mpaka Januari, 2023 imezindua vituo 4 vya kutolea huduma za Afya Wilayani hapa vilivyogharimu kiasi cha shilingi 1,224,685,000. Vituo hivi ni...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mheshimiwa Rashid Mohamed Mwaimu, anawakaribisha wananchi wote wa Wilaya ya Kyerwa na Viunga vyake kuupokea, kuukimbiza, na kuusindidiza Mwenge wa Uhuru 2022 kwa kipindi chot...
Imewekwa tarehe: October 5th, 2022
Waziri wa Afya nchini, Mheshimiwa Ummy Ally Mwalimu amefanya ziara ya kikaguzi katika Wilaya ya Kyerwa,ili kujiridhisha na utayari wa serikali katika kupambana na Ugonjwa wa Ebola usiweze kuingia nchi...