Imewekwa tarehe: March 12th, 2020
Serikali, kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania( TIE) leo tarehe 12 machi, 2020 imekabidhi jumla ya vitabu 25,752 kwa shule 21 za sekondari na shule 97 za msingi Wilayani Kyerwa.Akikabidhi vitabu hi...
Imewekwa tarehe: February 18th, 2020
Kwa kuzingatia Mwongozo wa bajeti wa mwaka 2020-2021 , ilani ya uchaguzi, malengo ya maendeleo endelevu(SDG),mpango wa maendeleo wa taifa wa miaka 5, na dira ya maendeleo 2025,baraza la madiwani H...
Imewekwa tarehe: February 13th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imefanikiwa kuanzisha huduma za upasuaji wa dharula kwa Wajawazito katika kituo cha Afya Murongo mnamo tarehe 04.02.2020. Hadi kufikia tarehe 12.02.2020 jumla ya Wajawa...