Imewekwa tarehe: December 31st, 2021
“Leo nina jukumu kubwa moja la kuwakabidhi mikopo vikundi vya wanawake . Mikopo hii ni katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 230 (“a” ...
Imewekwa tarehe: November 25th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imepokea jumla ya shilingi 1,700,000,000.00 kupitia programu ya UVIKO-19 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 85 vya madarasa katika shule 23 za sekondari za Serikali.
Kwa ...
Imewekwa tarehe: August 31st, 2021
Wafugaji katika nyanda za malisho ya Ruhita kata ya Kamuli wapelekewa mradi wa ujenzi wa josho la kuogeshea mifugo. Mradi huu unatekelezwa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 na unaghalimu jumla ya kiasi cha...