Imewekwa tarehe: January 4th, 2024
Wadau wa Kahawa wamekutana leo tar. 04 Januari 2024 katika ukumbi wa Rweru Plaza kujadili namna ya kukuza uzalishaji wa zao la kahawa katika Wilaya ya Kyerwa.
Akiongoza kikao hicho Mkuu wa Wilaya y...
Imewekwa tarehe: December 16th, 2023
Wavuvi wanaovua samaki kwa kutumia nyavu haramu katika Ziwa Karenge wamekusanya pisi 124 za nyavu zenye thamani ya 14,880,000 kwa hiari, na zimeteketezwa na timu ya viongozi wa kiserikali kwa kushirik...
Imewekwa tarehe: December 9th, 2023
Wilaya ya Kyerwa imeadhimisha miaka 62 ya Uhuru kwa kufanya Mdahalo maalumu uliowakutanisha wadau mbalimbali kwa ajili ya kupeana elimu ya mambo yaliyofanywa na Serikali pamoja na kukumbushana histori...