Kamati hii inaundwa na waheshimiwa madiwani wapatao 11 pamoja na wakuu wa idara /vitengo wa Halmashauri wapatao 18.Mwenyekiti wa kamati hii pia ndiyo mwenyekiti wa Halmashauri,Mkurugenzi Mtendaji huwa ni katibu wa kikao.
Kamati hii hujadili na kutoa maamuzi/maazimio baada ya taarifa kujadiliwa kutoka kamati nyingine za kudumu na baadae kuziwasilisha katika Baraza la madiwani.Tofauti na kamati nyingine, kamati hii ina vikao vya robo(Kila baada ya miezi mitatu) na vikao vya kila mwezi ili kujadili mapato na matumizi.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved