Imewekwa tarehe: November 18th, 2018
Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa. Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inatekeleza Mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya katika eneo la mji la Rubwera. Ujenzi huu unatekelezwa...
Imewekwa tarehe: October 15th, 2018
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kagera ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti imetembelea maeneo mbalimbali ya mto Kagera Wilayani Kyerwa ambayo yanatumika katika biashara...
Imewekwa tarehe: September 16th, 2018
TUNATEKELEZA: Baada ya Serikali kuridhika na utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Kituo cha Afya Murongo wilayani Kyerwa kwa kutumia Sh. Milioni 400 za awamu ya kwanza, Serikali ilitoa fedha nyingine Sh...