Imewekwa tarehe: December 16th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mheshimiwa Rashid Mwaimu, leo amezindua mnada wa mifugo wa Katera, uliopo Wilaya ya Kyerwa.Mnada huo ambao kwa kipindi cha miaka mingi ulikuwa umesimamisha shughuli zake kuto...
Imewekwa tarehe: December 3rd, 2020
Baraza la Madiwani la Kwanza kwa 2020-2025 wilayani Kyerwa limefanyika tarehe 03.12.2020 kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa muda Ndg, S.I Benjamin Mwikasyege (Aliyesimama pichani) ambaye ni Katibu Tawala ...
Imewekwa tarehe: December 2nd, 2020
Mtu mmoja mwanamke mwenye umri wa miaka 25 akututwa na maambukizi ya UKIMWI, kati ya watu 77 waliopima virusi hivyo katika siku ya maadhimisho ya UKIMWI Wilayani Kyerwa.Upimaji huo umefanyika kw...