Imewekwa tarehe: April 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka Wananchi kuulinda Muungano wa Tanzania ili umoja na mshikamano baina ya Watanzania uendelee kudumu kwa maslahi ya mapana ya Taifa.
Ametoa kauli...
Imewekwa tarehe: March 7th, 2025
Mdau wa Maendeleo Wilaya ya Kyerwa, Meneja wa kampuni ya Karagwe Estate Bi. Devotha Daniel amegawa taulo za kike pisi 300 kwa wanafunzi wa shule za Sekondari za Kyerwa Modern na Kyerwa pamoja na Shule...
Imewekwa tarehe: March 6th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka wajumbe wa kikao cha kamati ya lishe kupambana na hali ya watoto wanaozaliwa chini ya uzito wa 2.5Kg. baada ya kupokea na kujadili taarifa utekele...