Kasi na ukuaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Duniani imebadilisha kwa kiwango kikubwa uendeshaji wa shughuli za Serikali na jamii.Aidha ukuaji wa teknolojia hii umesaidia kurahisisha utendaji wa shughuli mbalimbali za Serikali pamoja na kuboresha huduma zitolewazo kwa jamii.
Halmashauri ya kyerwa imekuwa ikitumia mifumo ya kieletroniki katika kuendesha shughuli zake na kutoa huduma kwa jamii.Mifumo hii ni pamoja na mfumo wa kukusanyia mapato ya ndani(Local Government Revenue Collection Information System-LGRCIS),mfumo wa kuandaa hati za malipo(EPICOR),mfumo wa kuainisha takweimu za usajili wa wanafunzi (BEMIs na PREM),mfumo wa kiutumishi na mishahara (LAWSON).
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved