• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

MNASTAHILI PONGEZI KWA USIMAMIZI, UTEKELEZAJI WA MIRADI

Imewekwa tarehe: May 7th, 2025

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa  imefanya  ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Kyerwa.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Bahati Henerico akiongoza ziara hiyo amesema wamejionea miradi inayotekelezwa kwa ufanisi, kasi na inaonekana italeta tija kwa Wanakyerwa pindi ikikamilika, kwani huduma zitasogezwa karibu na kuinua uchumi na maendeleo ya Wilaya ya Kyerwa.

Ujenzi wa Soko la kimataifa la Ndizi-Nkwenda wenye thamani ya bilioni 1.6 na unatarajiwa kukamilika mwezi Juni 2025, Ujenzi wa vyumba 15 vya  Maduka Stendi ya Nkwenda vyenye thamani ya Milioni 97.5  na Ujenzi Jengo la Wodi ya Wazazi katika Zahanati ya Rukuraijo wenye thamani ya Millioni 280.

Miradi hiyo iko katika hatua mbalimbali ambayo imefanya Kamati kumpongeza  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa SACF. James John na Wataalam wake kwa usimamizi mzuri wa miradi hiyo inayotekelezwa kwa fedha za Serikali Kuu na Mapato ya ndani ya Halmashauri.

Vile vile Kamati imetembelea eneo la uwekezaji la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa lenye ukubwa wa Ekari 15 lililopo katika Kijiji cha Kyerwa na kupongeza mpango huo wa Halmashauri  wa kuwa na eneo hilo na kutaka taratibu za utekelezaji wa mradi huo ziendelee.

Aidha Mhe. Bahati amesisitiza umuhimu wa uwazi, ushirikishwaji wa jamii na viongozi wa Vijiji ama maeneo husika, pamoja na matumizi bora ya rasilimali za umma kwa maendeleo katika utekelezaji wa miradi hiyo kwani inawahusu wao na wanahaki ya kujua kinachoendelea katika maeneo yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI MBALIMBALI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • KYERWA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • NI SWALA LA KUAMUA TU, SISI WANAKYERWA HATUTAKI UCHAFU

    May 31, 2025
  • DC AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    May 29, 2025
  • TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA MAGENDO YA KAHAWA-DAS KYERWA

    May 14, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved