Imewekwa tarehe: April 20th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa Bw. Mussa Gumbo leo Aprili 20, 2024 ameongoza zoezi la kufanya usafi wa mazingira pamoja na kupanda miti katika Shule ya Sekondari ya Kyerwa Modern ikiwa ni maandaliz...
Imewekwa tarehe: April 19th, 2024
Wilaya ya Kyerwa inatarajia kushiriki zoezi la kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wa kike kuanzia miaka Tisa hadi kumi na nne wapatao 38,009 kwa lengo...
Imewekwa tarehe: April 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amepokea mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (Cooperate Social Responsibility- CSR) wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati katika Kikao kilichofanyika leo Aprili 1...