Imewekwa tarehe: January 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ametembelea Kata ya Businde kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi zinazowakabili katika mazingira yao huku akiwataka wazazi na walezi kuhakiki...
Imewekwa tarehe: January 27th, 2024
Usafi wa mazingira wa Jumamosi ya mwisho wa mwezi umefanywa katika Stendi ya Zamani ya Nkwenda pamoja na barabara zinazozunguka eneo hilo, leo tarehe 27 Januari 2024 katika Kata ya Nkwenda Wilay...
Imewekwa tarehe: January 26th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amefanya kikao na Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Maafisa Elimu Kata na Walimu Wakuu kujadili swala la uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali, dara...