Imewekwa tarehe: April 23rd, 2024
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Tar. 23 Aprili 2024 katika Wilaya ya Kyerwa umefanyika usafi wa mazingira na kupanda miti katika Kituo cha Afya Nkwenda.
...
Imewekwa tarehe: April 22nd, 2024
Katika kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Tar. 22, Aprili 2024 katika Wilaya ya Kyerwa imefanyika Dua Maalumu ya kuliombea taifa ambayo imefanyika katika viwanja vya Isingiro Ste...
Imewekwa tarehe: April 20th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa Bw. Mussa Gumbo leo Aprili 20, 2024 ameongoza zoezi la kufanya usafi wa mazingira pamoja na kupanda miti katika Shule ya Sekondari ya Kyerwa Modern ikiwa ni maandaliz...