Kamati hii hujadili na kutoa maamuzi taarifa zinazotoka katika idara ya mipango,ujenzi na zimamoto,ardhi na mazingira,na TEHAMA.Wajumbe wa kamati hii ni waheshimiwa Madiwani na wataalamu wa Timu ya Menejimenti (CMT).
Kamati hii hukaa vikao vyake kila baada ya miezi mitatu isipokuwa kama kuna dharura .
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved