Wakazi wa Wilaya ya Kyerwa wanaopata huduma ya Maji safi na salama ni 48% .Huduma ya Maji kwenye Vijiji na Miji Midogo inapatikana kuanzia umbali wa mita 400 hadi Kilomita 10. Kiwango cha upatikanaji wa maji Kiwilaya umekuwa mdogo kunatokana na sababu mbalimbali kama vile wananchi kuishi juu ya Milima wakati vyanzo vya maji vipo chini, na uchakavu wa miundominu ya maji iliyojengwa miaka ya 1974-1983.
Mikakati ya Halmashauri katika kuinua sekta ya Maji
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa katika kutimiza lengo la Serikali la Matokeo Makubwa Sasa "BIG RESULT NOW" idara ya Maji inatekeleza yafuatayo:-
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved