Imewekwa tarehe: September 22nd, 2023
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amefunga mafunzo ya uongozi kwa viongozi wa mkoa wa Kagera yaliyofanyika kwa siku tano katika ukumbi wa ELCT Hotel Bukoba Manispaa.
...
Imewekwa tarehe: September 15th, 2023
Kamati ya Elimu ya Afya ya Msingi katika Wilaya ya Kyerwa imefanya kikao chake leo tarehe 15 Septemba 2023, kwa ajili ya kujadili mpango wa kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya matone ya Po...
Imewekwa tarehe: September 14th, 2023
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Flanklin Rwezimula leo Septemba 14, 2023 amefanya ziara ya kutembelea Mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA katika Wilaya ya Ky...