Imewekwa tarehe: October 13th, 2023
Wajumbe Baraza la Wafanyakazi Wilaya ya Kyerwa wamefanya kikao cha baraza leo tarehe 13 Oktoba 2023 ili kujadili masuala ya utawala bora na usimamizi wa rasilimali watu katika ukumbi wa Rweru Plaza Wi...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe leo tarehe 2 Oktoba 2023 amezindua zoezi la ugawaji wa miche ya kahawa kwa wakulima katika Kijiji cha Karenge Kata Isingiro Wilaya ya Kyerwa.
Katika uzin...
Imewekwa tarehe: September 30th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imepokea vifaa vya umeme wa jua (solar system) vyenye thamani ya Milioni 62 kutoka katika Kampuni ya Mavuno Project yenye makao yake Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera il...