Idara hii ni kisima cha fikra katika kupanga,kutekeleza,na kusimamia maendeleo ya wananchi kupitia miradi inayotekelezwa na halmashauri.Ili kutimiza majukumu yake kwa ufanisi idara hukusanya takwimu kutoka vyanzo mbalimbali vya taarifa kama vile hali ya hewa,mwenendo wa uchumi,idadi ya watu,thamani ya mazao/bidhaa sokoni.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved