Orodha ya miradi inayoendelea kutekelezwa kwa mwaka wa fedha 2019/2020:-
1.Ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri
2. Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kyerwa
3.Ujenzi wa Miundombinu ya shule kwa shule za sekondari na msingi kwa ufadhili wa Benki ya MMaendeleo ya Afrika Taarifa ya maendeleo ya miradi ya ADB.xls
4. .Ujenzi wa jengo la utawala shule ya msingi Illega kwa fedha za lipa kwa matokeo, P4R
5 .Ujenzi wa Mradi wa maji katika vijiji 54 katika kata 15
6. Ujenzi wa zahanati ya Iteera
7. Mradi wa Kilimo na ufugaji katika vikundi 8 vilivyopo katika vijiji 7 kwa ufadhili wa Shirika la Kilimo na Chakila duniani, FAO. TOVUTI FAO,TAARIFA FUPI .doc
8. Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali katika kituo cha Afya Nkwenda kwa Fedha Maalumu toka serikali kuu.
9. Upimaji wa viwanja katika eneo la Kagenyi
10. TASAF 3
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved