Imewekwa tarehe: December 6th, 2023
Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa leo tar. 6 Desemba 2023 wameanza kupatiwa mafunzo ya kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma (PE...
Imewekwa tarehe: November 28th, 2023
Jumla ya vijana 58 wakike wakiwa 2 na wakiume 56 wamehitimu mafunzo ya jeshi la akiba maarufu kama mgambo ambao waliweka kambi katika Kata ya Kikukuru Wilaya ya Kyerwa tangu Julai 20, 2023.
A...
Imewekwa tarehe: November 25th, 2023
Usafi wa mazingira wa Jumamosi ya mwisho wa wiki ya mwezi Novemba 2023 umefanyika katika viwanja vya Ofisi za Jengo Jipya la Halmshauri ya Wilaya ya Kyerwa likiambatana na zoezi la upandaji miti ya ma...