Maafisa Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa wamepewa mafunzo ya mfumo wa ufuatiliaji na utambuzi pamoja na utoaji wa chanjo ya mifugo Julai 31, 2025.
Zoezi hilo lilizinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe tarehe 24 Julai 2025 na linatarajiwa kuanza kutekelezwa tarehe 4 Agosti 2025 katika Vijiji vyote vya Wilaya ya Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved