Imewekwa tarehe: January 19th, 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Wilaya ya Kyerwa imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Kyerwa leo Januari 19, 2024.
Katika ziara hiyo ikiongozwa na Mw...
Imewekwa tarehe: January 18th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amezindua zoezi la kugawa kasiki za kutunza fedha na nyaraka za vikundi vya huduma ndogo za fedha kwa wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini-TASAF kat...
Imewekwa tarehe: January 5th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mhe. Bahati Henerico ametembelea mradi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Bugara Millennium uliyoko Kijiji cha Rwakabunda kata ya Bugara kwa ajili ya kujionea ...