Imewekwa tarehe: February 19th, 2022
Chama cha Skauti Wilaya ya Kyerwa,kimesajili jumla ya wanachama wapya 226 katika mahafali yaliyofanyika hivi karibuni, katika viwanja vya mpira wa miguu Isingiro.Katika mahafali hayo, yaliyohudhuriwa ...
Imewekwa tarehe: December 31st, 2021
“Leo nina jukumu kubwa moja la kuwakabidhi mikopo vikundi vya wanawake . Mikopo hii ni katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 230 (“a” ...
Imewekwa tarehe: November 25th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imepokea jumla ya shilingi 1,700,000,000.00 kupitia programu ya UVIKO-19 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 85 vya madarasa katika shule 23 za sekondari za Serikali.
Kwa ...