Ili kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri kwa ajili ya kupatiwa huduma kwa mwananchi unatakiwa kufika Ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri siku ya Jumatatu au Ijumaa kila wiki. Hizi ni siku ambazo Mhe. Mwenyekiti amezitenga kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote wenye matatizo ya kisera Wilayani Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved