Imewekwa tarehe: October 31st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe leo Oktoba 31, 2023 amefanya mkutano wa hadhara na wananchi katika Kata ya Kibingo ikiwa ni mwendelezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Wila...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe Oktoba 30, 2023 amefanya mkutano na Wananchi katika Kata ya Kamuli ikiwa na lengo la kusikiliza na kutatua kero zao.
Katika ziara hiyo Mkuu w...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2023
Maadhimisho ya siku ya Lishe kitaifa pamoja na uzinduzi wa kampeni ya lishe kwa vijana balehe katika Wilaya ya Kyerwa yamefanyika tarehe 30 Oktoba 2023 katika Kijiji cha Muhulire Kata ya Nkwenda.
...