Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kupitia idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana imekuwa ikitoa huduma mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo wanawake na vijana kwa kutoa mikopo ya riba nafuu (7%), pia kupitia programu ya kudhibiti UKIMWI, makundi maalumu kama vile watu wanaoishi na VVU na UKIMWI, wenye ulemavu, wajane, vijana, wazee na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wamekuwa wakipatiwa huduma kwa namna mbalimbali.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved