Imewekwa tarehe: November 8th, 2025
Novemba 7, 2025 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Dkt. Lewanga Msafiri amefungua mafunzo maalum ya kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa chini ya umri wa miaka mitano.
...
Imewekwa tarehe: October 26th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kyerwa, Mwl. Ramadhani Marwa amefungua mafunzo ya siku mbili kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ucha...
Imewekwa tarehe: October 21st, 2025
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia Sheria mkononi kwani ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Ameyasema hayo tarehe 21 Oktoba 2025...