Imewekwa tarehe: August 1st, 2023
Baraza la Biashara la Wilaya ya Kyerwa limefanya kikao leo tar. 1 Agosti 2023 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa kwa wadau mbalimbali wa biashara kutoka sekta za umma na binafsi kwa le...
Imewekwa tarehe: July 25th, 2023
Maadhimisho ya siku ya mashujaa Wilaya ya Kyewa yamefanyika kwa watumishi wa taasisi za Umma kufanya shughuli za usafi wa mazingira na kupanda miti katika maeneo ya Shule ya Sekonari Kyerwa Modern na ...
Imewekwa tarehe: July 20th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe leo tarehe 20 Julai 2023 amefungua mafunzo ya awali ya jeshi la akiba kata ya Kikukuru Wilayani Kyerwa.
Akizugumza katika hafla hiyo amewapongeza vijana ...