Imewekwa tarehe: March 15th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mhe. Bahati Henerico leo Tar. 15 Machi 2024 amezindua mafunzo ya mfumo wa uwezeshaji wataalam kutambua, kusajili na kutoa vitambulisho vya wafanyabiashara...
Imewekwa tarehe: February 22nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe amewataka viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Milambi kilichopo Kata ya Nyaruzumbura kulinda miundombinu ya barabara iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudu...
Imewekwa tarehe: February 22nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ametembelea Kata ya Bugara kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi zinazowakabili katika maeneo yao na zikihitaji serikali kuzishughulikia.
A...