Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anawatangazia wananchi wote kuwa kuna nafasi za kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa. Yeyote mwenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hilo anakaribishwa kutuma maombi. Kwa maelezo na sifa soma hapa Tangazo la Kazi.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved