Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa Bw. Mussa Gumbo ameiasa jamii kushiriki katika mazoezi na kuzingatia mtindo wa maisha wenye tija ili kulinda afya zao.
Ameyasema hayo katika Kikao kilichofanyika leo Septemba 19, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kwa ajili ya kujadili tathmini ya Mkataba wa lishe, uliotekelezwa kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2024/2025.
Bw. Gumbo amewahimiza wajumbe kuendelea kutoa elimu ya lishe ili kutokemeza udumavu katika jamii na kuhimiza kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa mbalimbali yasiyoambukizwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved