Mnamo mwaka 2016 Wilaya ya kyerwa ilikumbwa na ukame ulioathiri ukuaji wa mazao shambani,hivyo kusababisha upungufu wa chakula kwa baadhi ya kaya Wilayani Kyerwa