• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Kampeni ya kinga tiba kwa magonjwa ya kichocho na minyoo kwa watoto tarehe 25/5/2017 Wilaya ya Kyerwa

24 May 2017

  1. MKUU WA WILAYA KYERWA,ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA,WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO,KWA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA RAIS TAMISEMI,KUPITIA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE
  2. WAMEANDAA KAMPENI YA KIWILAYA YA KINGA TIBA DHIDI YA MAGONJWA YA KICHOCHO NA MINYOO YA MATUMBO KWA WATOTO WOTE WENYE UMRI WA KWENDA SHULE YAANI MIAKA 5-15.
  3. KAMPENI ITAFANYIKA KWA WILAYA NZIMA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 25/5/2017 KATIKA SHULE ZOTE ZA MSINGI ZA WILAYA YA KYERWA.
  4. WAZAZI NA WALEZI WOTE,HAKIKISHA WATOTO WOTE WANAOSOMA,WENYE UMRI WA MIAKA 5-15 WANAFIKA KATIKA SHULE YA MSINGI ILIYOKARIBU NAWE BILA KUKOSA ILI WAPATIWE DAWA HIZO.
  5. DAWA HIZO NI SALAMA NA ZIMEDHIBITISHWA NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)NA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII ,JINSIA WAZEE NA WATOTO KUPITIA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA)
  6. TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA OFISI YA MKUU WA WILAYA KYERWA

         NOTE: KUMBUKA HATIMA YA MWANAO NI KUWA NA AFYA ILIYO BORA.

             ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMJULISHE NA MWENZAKE


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI MBALIMBALI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • KYERWA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • NI SWALA LA KUAMUA TU, SISI WANAKYERWA HATUTAKI UCHAFU

    May 31, 2025
  • DC AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    May 29, 2025
  • TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA MAGENDO YA KAHAWA-DAS KYERWA

    May 14, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved