Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa anawatangazia Wazazi na Walezi kuwa kuanzia tar. 1 hadi 31 Desemba 2023 kutakuwa na kampeni ya utoaji wa matone ya vitamini A na upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wa umri kuanzia miezi 6 hadi 59.
kwa maelezo zaidi funga kiunganishi au link hii
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved