Kwa hisani ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Kanali Mstaafu Shaban Ilangu Lissu aupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Wilayani Missenyi. Kiongozi wa mbio za mwenge Charles Francis Kabeho azindua miradi kadhaa ukiwemo mradi wa maji.
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved