Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inayo furaha kuwatangazia wananchi wote wa ndani na nje ya wilaya ya Kyerwa kuwa viwanja vya kujenga vinapatikana tena katika mji wa Kagenyi. Aidha kila mwenye nia ya kumiliki kiwanja eneo hilo atume maombi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa. Kwa habari zaidi bofya hapa Tangazo la viwanja.pdf
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved