• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa yagawa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa vyenye thamani ya milioni 68.6

Imewekwa tarehe: January 25th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mheshimiwa Rashid Mwaimu, ameongoza zoezi la ugawaji wa vifaa vya ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa kwa shule 5 za sekondari Wilayani hapa.

Halfa hiyo iliyofanyika katika kata ya Rutunguru ilihudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndugu Diocles Ngaiza, Kamati ya Ulinzi na Usalama,Wakuu wa Idara, Kamati ya Maendeleo ya

Kata , na jamii .Jumla ya shule 5 mpya za sekondari,kutoka kata za Nyaruzumbura, Rutunguru, Bugara, Kakanja, na Mabira zilipatiwa vifaa hivyo ikiwa ni pamoja na  mabati 580, saruji mifuko1030,madirisha 84, milango 24, misumali kilogramu 90.Jumla ya gharama za vifaa hivi ni shilingi 68,668,000/=.

Ujenzi wa shule ya Sekondari Nyazumbura unaendelea ambapo vyumba 5 vya madarasa  vimefikia hatua ya umaliziaji, na chumba 1 cha darasa kipo hatua ya msingi. Pia ujenzi wa matundu 10 ya vyoo  vya wanafunzi upo katika hatua ya umaliziaji, wakati matundu 2 ya vyoo vya walimu yapo katika hatua ya kuchimba shimo.

Ujenzi wa shule ya Sekondari Rutunguru unaendelea ambapo vyumba 2 vya madarasa vipo katika hatua ya uwezekaji, na chumba 1 cha darasa kipo katika hatua ya msingi. Aidha matundu 8 ya vyoo vya wanafunzi na matundu 2 ya vyoo vya walimu umefikia hatua ya umaliziaji.

Ujenzi wa shule ya sekondari ya Bugara vyumba  3 vya madarasa vipo katika hatua ya msingi.Ujenzi wa shuleya sekondari Kakanja vyumba 3 vya madarasa vipo katika hatua ya uezekaji,pia ujenzi wa matundu 10 ya vyoo vya wanafunzi upo hatua ya uezekaji.  Aidha, ujenzi wa shule ya sekondari Mabira ujenzi unaoendelea ni chumba 1 cha wanafunzi wa kidato cha tano ambapo hatua iliyofikiwa ni umaliziaji.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI MBALIMBALI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA YA AFYA July 09, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO UPANGISHAJI WA FREMU ZA MADUKA KATIKA STENDI YA MABASI MAZIWA NKWENDA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 June 12, 2025
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • KYERWA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • NI SWALA LA KUAMUA TU, SISI WANAKYERWA HATUTAKI UCHAFU

    May 31, 2025
  • DC AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    May 29, 2025
  • TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA MAGENDO YA KAHAWA-DAS KYERWA

    May 14, 2025
  • Tazama vyote

Video

KUFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO WILAYANI KYERWA
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved