Usafi wa mazingira wa Jumamosi ya mwisho wa wiki ya mwezi Novemba 2023 umefanyika katika viwanja vya Ofisi za Jengo Jipya la Halmshauri ya Wilaya ya Kyerwa likiambatana na zoezi la upandaji miti ya matunda na vivuli.
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Mhe. Zaituni Msofe ameongoza zoezi hilo akishirikiana na watumishi na wafanyakazi wa `taasisi mbalimbali za umma katika Wilaya ya Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved