Akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa Kitongoji cha Kijeru kilichopo katika kijiji cha Kwarukwanzi B na wanachi wa Vijiji vya Kaitambuzi na Katera vilivyopo katika Kata ya Isingiro amesema, kwa kuwa wananchi hao walishayaendeleza maeneo hayo Serikali imeona haina haja ya kuwasumbua kwa kuwahamisha au kuwavunjia nyumba zao katika maeneo hayo huku akiwataka wasiendelee kuvamia maeneo hayo zaidi kwani yametengwa kisheria kwa ajili ya wafugaji.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved