Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa SACF. James John ameongoza kikao cha watumishi wote wa makao makuu ya Halmashauri hiyo kwa lengo la kusikiliza kero zao.
Katika kikao hicho mkurugenzi mtendaji amewahimiza watumishi hao kujituma na kuwajibika ipasavyo katika majukumu yao, kustahiana, kupendana na kuheshimiana pamoja na kuwa na lugha nzuri kwa wateja wanaoenda kupata huduma katika halmashauri hiyo.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved