Jamii ya Kyerwa ikiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kyerwa Bw. Mussa Gumbo wameadhimisha Siku ya kumbukizi ya Mashujaa nchini kwa kufanya usafi, kupanda miti na kufanya matendo ya huruma leo 25 Julai 2024 katika hospitali ya Wilaya ya Kyerwa.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved